by
Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: May 25, 2018
"Kama Mkristo, mguso mkubwa na mzuri maishani mwako unatakiwa kuwa Roho Mtakatifu. Kitabu hiki kinakuwezesha kuelewa jinsi gani tabia yako, dhamira yako, ubunifu wako na hata uwezo wako wa kuwa mtakatifu unaweza kushawishiwa na Roho Mtakatifu.
Kupitia kitabu hiki cha ajabu cha Dag Heward–Mills,...